Kikosi cha SOG kinafanya kazi yake kwa usiri mkubwa

  • | Citizen TV
    3,355 views

    Ni kikosi ambacho kinafanya kazi yake kwa usiri mkubwa. Ulinzi wa taifa ndani na nje ya nchi unatengemea pakubwa kazi ya kikosi hicho kinachotekeleza majukumu yake kimya kimya