Taarifa za Kaunti I Seneta wa Kericho ataka uchunguzi kuhusu madai ya malipo bandia kuharakishwa

  • | KBC Video
    66 views

    Seneta wa Kericho Aaron Cheruiyot ametoa wito kwa bunge la kaunti kuharakisha uchunguzi kuhusu madai ya malipo bandia ya zaidi ya shilingi milioni 80 na serikali ya kaunti. Hili linafutia madai ya Naibu Gavana wa Kaunti hio, Fred Kirui, kwamba wanakandarasi walilipwa kinyume na taratibu za ununuzi au bila kutoa huduma yoyote. Maelezo zaidi kuhusu haya na habari nyingine ni katika muhtasari wetu wa habari za kaunti

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive