Dennis Kipng'etich akutana na jamaa yao baada ya miaka 4

  • | Citizen TV
    381 views

    Ilikuwa ni furaha iliyoje kwa familia moja kaunti ya Nandi baada ya kijana aliyetoweka kwa miaka minne kurejea nyumbani. Dennis Kipng'etich, aliathirika na kifafa na kulazwa Hospitali ya Kapkatet kaunti ya Kericho alikopewa hifadhi kwa muda huo wote. Na sasa amerejea nyumbani kwa shangwe za jamaa zake,