Kina mama wataka juhudi zaidi za dhuluma za kijinsia kuwekwa nchini

  • | Citizen TV
    108 views

    Wawakilishi wa kike kutoka kaunti mbali mbali wanataka juhudi zaidi kuwekwa kukabiliana na dhuluma za kijinsia wakilalamikia kuendelea kuongezeka kwa visa hivi. Haya yalizungumzwa kwenye kongamano lililoandaliwa kaunti ya Homabay.