Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku awataka watumishi wa umma kuvalia jezi ya Harambee Stars

  • | NTV Video
    54 views

    Waziri wa Utumishi wa Umma, Maendeleo ya Raslimali Watu na Programu Maalum, Geoffrey Ruku, sasa amewataka watumishi wa umma kujiunga na timu ya Kenya Harambee Stars kwa kuvalia jezi ya timu hiyo ili kuwapa motisha wachezaji hao wakati huu wa mashindano ya CHAN.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya