watu 8 wamefariki kwenye ajali eneo la korompoi

  • | Citizen TV
    3,536 views

    Tunafungua jamvi la nipashe na ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Korompoi kwenye barabara kuu ya Namanga kuelekea Nairobi ambapo watu wanane walipoteza maisha yao.