18 Nov 2025 10:10 am | Citizen TV 351 views Duration: 3:13 Huku zikiwa zimesalia siku nane kwa uchaguzi ndogo katika eneo bunge la Kasipul, vijana na wadau mbali mbali wametakiwa kudumisha amani wakati huu ambapo kampeni za lala salama zimeshika kasi.