18 Nov 2025 10:27 am | Citizen TV 121 views Duration: 1:59 Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kwa ushirikiano na wakfu wa Raymond Omollo imeanzisha mchakato wa kusajili vijana katika kama wapiga kura katika vitongoji na vijiji vya Migori.