Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa sekondari ya juu kujuzwa shule zao Ijumaa kupitia SMS

  • | Citizen TV
    1,055 views
    Duration: 2:42
    Wizara ya elimu imesema kuwa zoezi la kuchagua shule kwa wanafunzi wa gredi ya kumi linaendelea na wanafunzi watajulishwa kufikia ijumaa hii. Katibu wa elimu prof. Julius bitok anasema kuwa wazazi na wanafunzi kisha watakuwa na nafasi ya kufanya marekebisho iwapo kuna haja. Emily chebet anaarifu huku serikali ikisema imeajiandaa kwa masomo ya sekondari ya juu Januari 12.