Skip to main content
Skip to main content

Mwanaharakati ataka kesi ya kivuko Maasai Mara iondolewe huku mmiliki wa hoteli akipinga

  • | Citizen TV
    816 views
    Duration: 1:46
    Tuelekee mahakamani sasa ambapo mmiliki na msimamizi wa hoteli ya ritz-carlton masai mara safari camp ameitaka mahakama imuadhibu mwanamazingira joel meitemei ololdapash kwa kuiharibia jina. Haya yanajiri huku mwanamazingira huyo akiondoa ombi lake lililotaka hoteli hiyo kuondolewa kwa msingi kuwa uwepo wake ulizuia baraabara ya nyumbu katika mbuga ya masai mara.