- 383 viewsDuration: 28sTimu ya Tusker fc imeshuka hadi nafasi ya nne baada ya kushindwa kwa bao 1-0 na timu ya nairobi kwenye mechi ya ligi kuu ya taifa. Mathare united imeifunga sofapaka kwa bao 1-0 huku shabana fc ikitoka sare tasa na timu ya mara sugar. Gor mahia imerejea kileleni mwa ligi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya kakamega homeboyz.