Kaunti ya Kwale yapambana na mimba za watoto, HIV na dhuluma za kijinsia

  • | Citizen TV
    556 views

    Kaunti ya Kwale imepiga hatua katika juhudi za kumaliza mimba za Watoto, maambukizi ya HIV na dhuluma za kijinsia. Mimba za Watoto katika kaunti hiyo zimeripitiwa kushuka kwa asilimia hamsini mwaka uliopita ikilinganishwa na mwaka wa 2018.