Skip to main content
Skip to main content

Mgombea wa chama cha NRM, Rais Yoweri Museveni anaongoza kwa kura za uchaguzi wa urais nchini Uganda

  • | Citizen TV
    20,143 views
    Duration: 1:39
    Mgombea wa chama cha NRM, Rais Yoweri Museveni wa Uganda anaongoza kwa kura za uchaguzi wa urais nchini Uganda kwa asilimia 76.2% kulingana na matokeo ya hivi punde ya uchaguzi mkuu yaliyotangazwa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo Simon Mugenyi Byabakama. Bobi Wine anafuatia na asilimia 19.8%. Ikiwa ni kura millioni 1.3. Kufikia sasa kura zimehesabiwa katika vituo 22,758.