Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto aongoza hafla ya mradi wa NYOTA Nairobi

  • | Citizen TV
    368 views
    Duration: 2:38
    Rais William Ruto ameendelea kutetea miradi ya maendeleo ya serikali yake alipoongoza hafla ya kuwapa vijana mtaji wa biashara chini ya mradi wa nyota. Vijana zaidi ya 14,000 kutoka kaunti za Nairobi, Kiambu na Kajiado wamenufaika