Skip to main content
Skip to main content

Mauaji ya mfanyabiashara yazua hofu Karatina

  • | Citizen TV
    7,595 views
    Duration: 2:01
    Shughuli za biashara na uchukuzi zimetatizika mjini Karatina kaunti ya Nyeri, baada ya wafanyabiashara kuifunga Barabara kuu ya Nyeri kuelekea Nairobi, wakilalamikia mauaji ya mfanyabiashara mmoja mjini humo.