Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Njipship Narok wakiishi bila umeme kwa zaidi ya miezi sita

  • | Citizen TV
    317 views
    Duration: 2:56
    Kwa zaidi ya miezi sita, wakazi wa Njipship eneobunge la Emurwa Dikiir kaunti ya Narok wamekuwa wakiishi bila umeme huku huduma za biashara, hospitali na hata shule zikiathirika. Wakaazi wa eneo hili sasa wakiililia serikali kuingilia kati kuagiza kampuni ya Kenya Power kushughulikia hali hii