Skip to main content
Skip to main content

Familia ya mvulana wa miaka 23 Kasarani yashughulikia kifo chake baada ya mwili wake kupatikana

  • | Citizen TV
    10,118 views
    Duration: 3:10
    Familia ya mvulana wa miaka 23 aliyeripotiwa kutoweka mtaani Kasarani hapa Nairobi na kisha mwili wake kupatikana katika hifadhi ya maiti ya city inalilihaki. Familia ya Shawn Mwangi inasema mvulana huyo alitoweka tarehe 7 Disemba na juhudi za kutafuta usaidizi kituoni Kasarani hazikufua dafu hata baada ya mwili wake kupatikana kwenye mto eneo la Kasarani ukiwa na majeraha