Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awataka vijana kujiepusha na viongozi wasio na maono

  • | Citizen TV
    1,225 views
    Duration: 2:27
    Rais William Ruto amewataka vijana kujiepusha na viongozi ambao anasema hawana maono ya kubadilisha taifa la Kenya. Akizungumza alipoandaa mkutano na vijana katika ikulu ya Nairobi, rais Ruto alisema safari ya Singapore itafaulu kwa vyovyote vile