Skip to main content
Skip to main content

Peter Njenga wa Kasarani ashinda Sh. 500,000 katika shindano la Sort January

  • | Citizen TV
    154 views
    Duration: 1:08
    Peter Njenga, mkazi wa Kasarani jijini Nairobi, amejishindia shilingi nusu milioni katika shindano la Sort January Kishabiki. Njenga anasema kucheza pole pole na kwa umakini kila siku ndio kulimpa ushindi huu. Amesema atatumia fedha hizo kuwekeza katika biashara ili kukimu familia yake