21 Jan 2026 7:52 pm | Citizen TV 302 views Duration: 38s Timu ya taifa ya kenya mchezo wa futsal imewasili Namibia tayari kukabiliana na wenyeji siku ya ijumaa kwenye mechi ya mkondo wa kwanza ya kufuzu mchuano wa bara Afrika.