Skip to main content
Skip to main content

Kisunzi cha gredi ya 10

  • | Citizen TV
    367 views
    Duration: 7:20
    Serikali inapojizatiti kutumia machifu na manaibu wao kuzuru vijiji na kushauri familia ambazo zingali kupeleka wana wao kujiunga na gredi ya Kumi kufanya hivyo, wengi wa wanafunzi hao wangali nyumbani wakililia gharama ya masomo. Baadhi ya wanafunzi na wazazi wao wakianza kukata tamaa. sasa tunaungana naye Chrispine Otieno akiwa Kitutu Central akizungumza na familia kadhaa ambazo zimekwama na watoto ambao wangali kuanza safari ya kuenda sekondari ya Juu..