22 Jan 2026 10:18 am | Citizen TV 639 views Duration: 1:38 Bunduki moja zaidi aina ya AK 47 ikiwa na risasi tatu imesalimishwa na wazee wa jamii ya Orma kwa kamati ya usalama ya kaunti ndogo ya Bangale kaunti ya Tana River.