Skip to main content
Skip to main content

Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang’o: Uthabiti wa uchumi haujawa ustawi wa wananchi

  • | TV 47
    73 views
    Duration: 5:02
    Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang’o: Uthabiti wa uchumi haujawa ustawi wa wananchi. Mishahara yapungua, umaskini waongezeka licha ya ukuaji wa uchumi. Huduma za umma zasalia dhaifu kwa makundi yaliyo hatarini. Bajeti za nyongeza zapotosha matumizi ya kitaifa. Hatari ya kuongezeka kwa umaskini na ukosefu wa usawa. Gharama kubwa za afya zaongeza hatari kwa kaya. Nyakang’o: Taifa liko hatarini kurudi nyuma katika usawa wa kijinsia. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __