Hospitali ya Lifecare Bungoma imepandishwa hadhi hadi daraja la 5 (Level 5)

  • | West TV
    104 views
    Shughuli za matibabu katika hopsitali ya Lifecare Mjini Bungoma zimepigwa jeki baada ya kuidhinishwa kuwa hopsitali ya kiwango cha tano ( level 5) huku huduma zikitarajiwa kuboreshwa zaidi.