Mamlaka ya usimamizi wa taaluma za afya itachunguza ubora wa huduma za afya katika hospitali

  • | K24 Video
    18 views

    Mamlaka ya usimamizi wa taaluma za afya nchini itachunguza ubora wa huduma za afya katika hospitali hasa za viwango vya juu, ili kutathmini iwapo zinastahili kuwa katika hadhi hizo, na kufanya marekebisho kulingana na matokeo yao yamesemwa hayo katika mawasilisho ya mamlaka hiyo mbele ya kamati ya afya ya bunge la seneti, kuhusu madai ya utepetevu katika hospitali ya Mama Lucy unaoaminika kusababisha Maureen Anyango na Edward Otieno kuaga dunia mwezi septemba.