Didmus Barasa: Iwapo kuongezwa kwa kaunti zaidi Magharibi zitaongeza mgao wetu ni sawa

  • | West TV
    22 views
    Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa ashikilia kuwa iwapo kuongezwa kwa kaunti ya Teso na kaunti ya Mlima Elgon itasaidia kuongeza mgao wa serikali kwa eneo la Magharibi ni muhimu sana kwa wakazi wa Magharibi