Kimbunga Freddy: Huzuni yalifunika taifa la Malawi, familia zafanya mazishi

  • | VOA Swahili
    5,222 views
    Familia nchini Malawi zilifanya mazishi yenye hisia nzito siku ya Jumatano kuwakumbuka na kuwazika waathirika huku rais wa nchi hiyo akiitaka jumuiya ya kimataifa kusaidia. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili ya janga hilo lililoletwa na Kimbunga Freddy. #familia #malawi #mazishi #huzuni #hisia #kumbukumbu #maziko #waathirika #kimbungafreddy #vifo #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.