- 8,107 viewsWanajeshi wa Ukraine wakiwa kwenye mpaka na Belarus wametumia ndege zisizo kuwa na rubani ili kufuatilia aina yoyote ya uchokozi unaofanywa dhidi yake na Russia. Kuna habari zinazoeleza Rais wa Russia Vladimir Putin anapanga kupeleka silaha huko Belarus bila ya kukiuka majumu yake ya kimataifa ya kutosambaza silaha za nyuklia. Ungana na mwandishi wetu akikueleza hatua ambayo Russia inachukua ya kupeleka silaha kali na kutoa mafunzo ya kuzitumia huko Belarus. Endelea kusikiliza... #wanajeshi #ukraine #belarus #ndege #uchokozi #russia #silaha #vladimirputin #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Putin kupeleka silaha maalum Belarus, adai bila ya kukiuka majukumu ya silaha za nyuklia
- 30 Apr 2024 - African Union Commission Chairperson Moussa Faki has sent a message of condolences to Kenya following the deadly floods that have claimed over 160 lives thus far.
- 30 Apr 2024 - High Court has directed the National Health Insurance Fund (NHIF) to settle a court dispute it has with a firm owned by former Naivasha Member of Parliament John Mututho.
- 30 Apr 2024 - The High Court has ruled that over Ksh.13 million seized from businesswoman Nancy Kigunzu, also known as ‘Mathe wa Ngara’ be forfeited to the state.
- 30 Apr 2024 - Former Murang’a governor Mwangi wa Iria was on Tuesday arraigned in court, where he pleaded not guilty to corruption charges.
- 30 Apr 2024 - The Ministry of Water and Sanitation has revealed the reason behind the killer flash flood in Mai Mahiu that has so far claimed 71 lives and left many injured.
- 30 Apr 2024 - Former Prime Minister Raila Odinga has expressed sorrow over the government’s response to the flood crisis as heavy rainfall continues to pound the country.
- 30 Apr 2024 - A section of the busy Embu-Meru highway was closed on Tuesday morning after cracks emerged on Ikong'u bridge at Kiagima area in Embu West sub county.
- 30 Apr 2024 - The new proposal also seeks to rename NTSA and introduce added roles.
- 30 Apr 2024 - 28 people are still missing from the killer floods in Mai Mahiu, Nakuru County, that have so far claimed the lives of 71 residents.
- 30 Apr 2024 - NAIROBI, Kenya Apr 30 – Former Murang’a Governor Mwangi wa Iria has been charged for conspiring to defraud the county Sh140 million during his tenure. Court documents show that the sum was paid irregularly to Top Image media consultants between 2014 and…