Wadau wa elimu wataka fedha za sekondari msingi kusambazwa

  • | Citizen TV
    503 views

    Washikadau katika sekta ya elimu kaunti ya Kisii wametoa wito kwa serikali kupiga jeki sekta ya elimu ili kuboresha masomo katika taasisi zote nchini. wadau hao wameitaka kamati bunge kuhusu elimu inayochunguza visa vya udanganyifu kufanya kazi yao ipasavyo ili kuboresha hali kote nchini. viongozi wa chama cha walimu Kuppet wameitaka serikali kufanya hima kutuma fedha za masomo katika shule za sekondari msingi