Wakaazi katika kaunti ya Samburu watakiwa kuanza ufugaji wa nyuki

  • | Citizen TV
    109 views

    Kina mama kutoka jamii za wafugaji za wasamburu wamehimizwa kuzingatia kilimo cha ufugaji nyuki ili kufanikisha biashara ya asali kama njia ya kujihakikishia mapato. Haya yamejiri katika maonyesho ya mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ya kuwahamasisha wafugaji kujihusisha na biashara mbali mbali.