Wafanyibiashara katika kaunti ya Nakuru watoa maoni kwa bodi

  • | Citizen TV
    121 views

    Wafanyibiashara katika kaunti ya Nakuru kutoka sekta mbalimbali hii Leo wanatarajiwa kutoa maoni yao kwa bodi simamizi ya jiji la Nakuru na manisipaa tatu zilizoundua wiki mbili zilizopita.