Viongozi wa makanisa wakashifu mauaji na mashambulizi yaliyofanyika katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    317 views

    Viongozi wa makanisa katika kaunti ya Lamu wakemea mauaji na mashambulizi yaliyofanyika katika kaunti ya Lamu ambapo kanisa la Redeemed Gospel likiteketezwa . Viongozi hao wameitaka serekali kuwategulia kitendawili cha uhalifu huo huku wakizitaka asasi za usalama kuimarisha ulinzi haswa katika maaneo ya maabadi.