Wizara ya elimu yaagiza vyuo vikuu na vya anwai kuwasajili wanafunzi wa mwaka wa kwanza

  • | Citizen TV
    303 views

    Wizara ya elimu imeagiza vyuo vikuu na vya anwai kuwasajili wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliofanya mtihani wa kcse mwaka 2022 huku ufadhili na mikopo ya serikali ikisubiriwa