Wito wa upendo ulisheheni katika hafla ya kumbukumbu ya mzee Apollos Muna

  • | Citizen TV
    585 views

    Wito wa upendo ulisheheni katika hafla ya kumbukumbu ya miaka 22 tangu kifo cha mzee Apollos Muna babake mkurugenzi wa fedha wa kampuni ya Royal Media Services Bashir Mburu, katika kanisa la AIC Gutongorio viungani mwa mji wa Kitale.