Vituo vya afya mashinani vitakuwa na uesemi kuhusu matumizi ya pesa zinazokusaywa na vituo hivyo.

  • | KBC Video
    36 views

    Vituo vya afya vya umma katika kaunti vitakuwa na uesemi kuhusu matumizi ya pesa zinazokusaywa na vituo hivyo iwapo mswada uliopendekezwa na maseneta utapitishwa kuwa sheria. Mswada wa ufadhili wa vituo vya afya wa mwaka-2023 ambao kwa sasa uko kwenye vikao vya kunakili maoni ya umma utahakikisha kuna ufadhili dhabiti wa huduma za matibabu katika kaunti kinyume na kuwasilisha pesa zinazokusanya vituoni humo kwenye hazina za kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive