Serikali yatangaza kutenga shilingi bilioni moja ili kustawisha bei ya maziwa nchini

  • | Citizen TV
    260 views

    Wakulima wanaofuga ngombe wa maziwa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya serikali kutanganza kutenga shilingi bilioni 1 ili kustawisha bei ya maziwa nchini.