Wabunge wa Kenya Kwanza wanataka wanasiasa waweka tofauti zao kando

  • | Citizen TV
    208 views

    Baadhi ya wabunge wa Kenya Kwanza sasa wanawarai viongozi wa kisiasa kuweka tofauti za kisiasa kando na kuweka juhudi zao kwenye mchakato wa kubuni tume huru ya uchaguzi. Wakizungumza katika kanisa katoliki la Yogo, huko Ugenya, wabunge hao wameelezea umuhimu wa kuangazia uchuguzi uliopita ili matatizo yanayotokea baada ya uchaguzi yatatuliwe.