Prof. Ndungú asema wakenya waendelee kukaza mkanda

  • | Citizen TV
    4,470 views

    Waziri wa Fedha Profesa Njuguna Ndung'u sasa anasema kuwa hali ya uchumi ya kenya ni mbaya mno, akiwataka wakenya kukaza mkanda zaidi. Waziri Ndung'u pia akisema kuwa, serikali inapitia wakati mgumu hata kuwalipa wafanyakazi wa umma