Maoni kuhusu nyumba za bei nafuu

  • | K24 Video
    67 views

    Wakenya wanaoishi kwenye mitaa ya mabanda wanaunga mkono mswada wa nyumba za bei nafuu kwa msingi kuwa zitawaondolea aibu ,LSK na mashirika mengine yaliyowasilisha maoni yao mbele ya kamati ya fedha inayoongozwa na mbunge wa Molo Kuria Kimani inayokusanya maoni ya umma wameangazia mapengo yaliyopo kwenye mswada hu