Kina mama wapewa ushauri nasaha kuhusu ugonjwa wa kupooza kwa ubongo

  • | Citizen TV
    900 views

    Unyanyapaa na uhaba wa fedha bado ni changamoto kubwa katika malezi ya watoto walio na maradhi ya kupooza kwa ubongo.