- 82 views
Madaktari waliogoma katika kaunti ya Kiambu hawatapokea mishahara yao hadi warejee kazini, Ni tangazo lilitolewa na gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi, huku akiongeza kuwa watakaokataa kurejea kazini watachukuliwa hatua za kinidhamu, naye waziri wa leba Florence Bore amewarai madaktari waliogoma wasikaidi maagizo ya korti na badala yake warejee kazini na kufanya mazungumzo. Huku mgomo ukitimiza mwezi mmoja sasa, seneta maalum wa UDA Miraj Abdilah amemtetea waziri wa afya Susan Nakhumicha akidai mkataba wa CBA wa mwaka wa 2017 ulitumika kisiasa na serikali iliyopita bila mpango wa kuutekeleza.
Madaktari waliogoma katika kaunti ya Kiambu hawatapokea mishahara yao hadi warejee kazini
- - Duniani Leo ››
- 16 May 2024 - The Auditor General's report flags bursary cheques whose amounts were altered.
- 16 May 2024 - Girls from poor families miss 20 per cent of school days in a year due to a lack of sanitary towels.
- 16 May 2024 - To have any hope of victory, you have to start out very early, and campaign relentlessly for years.
- 16 May 2024 - Ramaphosa's opponents vow to challenge the new law in court and described it is a ploy for votes.
- 16 May 2024 - Downgrading Amboseli could expose it to increased human activity, posing a grave threat to its ecological integrity and tourism potential.
- 16 May 2024 - Having routine targets, year in year out, derails the organisation’s success in the long run.
- 16 May 2024 - Junior Secondary School teachers say they will obey court orders by staying home.
- 16 May 2024 - Margaret says she is unable to get medical care since she does not have her papers.
- 16 May 2024 - In the right to speech we are reminded that we must tolerate the views of the people or groups we dislike the most.
- 16 May 2024 - Senator Mungatana criticises DP, says the formula will further deprive marginalised communities.