- 152 viewsMajeshi ya Israeli yamewauwa Wapalestina sita katika eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu Jumanne (June 11), Wizara ya Afya ya Palestina ilisema, katika kile ambacho jeshi la Israeli limesema ilikuwa shambulizi dhidi ya wanamgambo. Jeshi la Israeli lilisema wanne kati ya wale waliofariki walikuwa ni wanamgambo wenye silaha, waliuwawa wakati wa kutupiana risasi na wanajeshi, katika kijiji cha Kufr Dan, karibu na mji wa Palestina wa Jenin. Kikundi cha wanamgambo wa Palestina hawakutoa tamko lolote mara moja. Kikosi cha Zimamoto kiliuzima moto uliokuwa unawaka ndani ya gari katika eneo hilo. Watu waliigundua miili ya watu wawili chini ya mti karibu na nyumba iliyokuwa imeharibiwa. Ghasia huko Ukingo wa Magharibi, zilikuwa tayari zimeongezeka kabla ya vita vya Israel na Hamas huko Gaza, zimezidi tangu wakati huo kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na jeshi dhidi ya vikundi vya wanamgambo, ghasia za walowezi wa Kiyahudi katika vijiji vya Wapalestina, na Wapalestina wakifanya mauaji mitaani. Ukingo wa Magharibi na Gaza, ni maeneo yaliyotekwa na Israel katika vita vya mwaka 1967, ni kati ya ardhi ambazo Wapalestina wanazitaka ili wawe na taifa huru. Mazungumzo ya amani yaliyosimamiwa na Marekani yalivunjika muongo mmoja uliopita. #Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #kufrdan #jenin #wanamgambo #wapalestina #jeshi #israel
Shambulizi lililofanywa na jeshi la Israeli lauwa Wapalestina sita
- - Elimu bila mipaka ››
- 11 Aug 2025 - The British High Commissioner to Kenya, Neil Wigan is set to depart Kenya at the end of August marking an end to his 2 year tenure at the position.
- 11 Aug 2025 - Police in Eldoret have commenced investigations into an incident where a man received a parcel with three human fingers enclosed with six bullets.
- 11 Aug 2025 - Police in Eldoret have commenced investigations into an incident where a man received a parcel with three human fingers enclosed with six bullets.
- 11 Aug 2025 - Deputy Inspector General (DIG) of Police Eliud Lagat argues that the decision on whether to charge him over the death of blogger Albert Omondi Ojwang lies exclusively with the Director of Public Prosecutions (DPP) and not the courts.
- 11 Aug 2025 - The ticketing malady witnessed in the ongoing CHAN 2024 competitions in Kenya has attracted censures from political leaders as many question the transparency of allowing football fans to secure tickets.
- 11 Aug 2025 - The clip of the assault went viral over the weekend.
- 11 Aug 2025 - Several adverts have been posted online.
- 11 Aug 2025 - Mexico City's Benito Juarez International Airport suspended operations for several hours Sunday after heavy rains flooded the capital and caused poor visibility, authorities said.
- 11 Aug 2025 - Lagat has largely maintained a 'low profile' since his return to office.
- » Supreme Court's Lady Justice Njoki Ndung'u condemns trivialising of female leaders on public platforms11 Aug 2025 - Justice Ndung'u credits unlikely male allies in Parliament for breakthrough legislation protecting women