Bei ya Kakao yaongezeka zaidi huku vita Cameroon ikiyumbisha upatikanaji wake
Mahitaji mbalimbali ya zao la kakao katika soko la dunia limepelekea bei ya zao hilo kubakia wakati wote juu, lakini hakuna kiasi cha kutosha ya zao hilo kuuzwa katika mkoa kusini magharibi wa Cameroon, ambalo awali lilikuwa ni bonde kuu la uzalishaji kakao katika taifa hilo.
Hii ni kutokana na vita vya silaha vilivyo yakumba maeneo ya Kaskazini magharibi na Kusini magharibi, mikoa miwili inayozungumza Kiingereza, tangu mwaka 2017, na kuwalazimisha wakulima kadhaa kuhamia maeneo mengine. Kama anavyorepoti Njodzeka Danhatu kutoka Buea, mkoa wa Kusini magharibi mwa Cameroon, baadhi ya wakulima wameanza hivi sasa kurejea katika maeneo yao.
Kilo moja ya kakao ambayo ilikuwa inauzwa kwa dola moja ya Marekani. Inauzwa kwa dola tisa za Marekani hivi leo, bei ya juu zaidi kuwahi kushuhudiwa katika taifa hilo la Afrika ya Kati. Serikali inawapa wakulima wa maeneo hayo ushauri juu ya namna ya kutumia fedha hizo zinazotokana na kakao kuondokana na umaskini.
#cocoa #cameroon #farming #voa
11 Aug 2025
- The clip of the assault went viral over the weekend.
11 Aug 2025
- Several adverts have been posted online.
11 Aug 2025
- Lagat has largely maintained a 'low profile' since his return to office.
11 Aug 2025
- The British High Commissioner to Kenya, Neil Wigan is set to depart Kenya at the end of August marking an end to his 2 year tenure at the position.
11 Aug 2025
- Police in Eldoret have commenced investigations into an incident where a man received a parcel with three human fingers enclosed with six bullets.
11 Aug 2025
- Police in Eldoret have commenced investigations into an incident where a man received a parcel with three human fingers enclosed with six bullets.
11 Aug 2025
- Deputy Inspector General (DIG) of Police Eliud Lagat argues that the decision on whether to charge him over the death of blogger Albert Omondi Ojwang lies exclusively with the Director of Public Prosecutions (DPP) and not the courts.
11 Aug 2025
- The ticketing malady witnessed in the ongoing CHAN 2024 competitions in Kenya has attracted censures from political leaders as many question the transparency of allowing football fans to secure tickets.
11 Aug 2025
- The clip of the assault went viral over the weekend.
11 Aug 2025
- Several adverts have been posted online.
11 Aug 2025
- Mexico City's Benito Juarez International Airport suspended operations for several hours Sunday after heavy rains flooded the capital and caused poor visibility, authorities said.
11 Aug 2025
- Lagat has largely maintained a 'low profile' since his return to office.
11 Aug 2025
- Justice Ndung'u credits unlikely male allies in Parliament for breakthrough legislation protecting women