Maandamano ya Jumanne ya Gen Z

  • | K24 Video
    125 views

    Waliahidi kuandamana Jumanne na walifika ila mbio za paka na panya zilishuhudiwa zaidi wakati wa maandamano ya kutaka serikali iwajibike. Watu wawili walijeruriwa huku polisi wakitumia vitoa machozi, wakikamata watu na mbinu tofauti za kuzima maandamano ya Gen-Z. Haya yanajiri wakati ambapo tume ya taifa ya haki za kibinadamu ikitangaza idadi walioaga dunia tangu maandamano yaanze kuwa 50 na huku wasiojulikana waliko wakiwa 59.