- 79 viewsDuration: 3:40Rais William Ruto amesema serikali itagawa miche bilioni-2 ya miti katika azma ya kupiga jeki mpango madhubuti wa upanzi wa miti bilioni-15 ifikiapo mwaka-2032. Ili kuafikia maono haya, rais alitangaza kwamba shirika la utunzi wa miti nchini-KFS litashirikiana na huduma ya vijana kwa taifa-NYS kuwatumia maafisa elfu-15 kupanua vitalu-317 vya miche kwenye misitu mbalimbali kote nchini. Kiongozi wa taifa vile vile alisisitiza haja ya kutotegemea kilimo kinachokuzwa kwa mvua na kukumbatia kile cha unyunyiziaji mashamba maji ili kuafikia kikamilifu uwezo wa sekta ya kilimo nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive