Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa 4 wanaohusishwa na ulanguzi wa kimataifa wa mihadarati wakamatwa baada ya msako

  • | KBC Video
    196 views
    Duration: 2:07
    Washukiwa wanne wanaohusishwa na ulanguzi wa kimataifa wa mihadarati wamekamatwa kwenye oparesheni iliyohusisha taasisi mbali mbali inayowalenga walanguzi wa mihadarati wanaotumia uwanja wa ndege wa kimataifa wa jomo |Kenyatta kulangua mihadarati.Washukiwa hao ambao ni pamoja na mkenya mmoja raia wa Uingereza walikamatwa kwenye oparesheni ya pamoja iliyofanywa Mombasa na Nairobi, huku serikali ikiimarisha juhudi za kukabiliana na makundi ya ulanguzi wa mihadarati. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive