Dhulma Dhidi ya Watoto: Msaada kwa waathiriwa waongezeka

  • | KBC Video
    11 views

    Serikali imeongeza idadi ya watoto wanaonufaika kutokana na mpango wa Inua Jamii kwa lengo la kuhakikisha watoto kutoka familia zisizojimudu wanatunzwa na kupata elimu. Akiongea kwenye kongamano jijini Nairobi lililojumuisha mashirika mbali mbali yakiwemo makundi ya kijamii, katibu katika wizara ya Leba, Joseph Motari alisema zaidi ya watu elf-570 walisajiliwa kwenya mpango wa Inua jamii mwezi juni mwaka huu na kufikisha watu milioni-1.7 wanaonufaika na mpango huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive