Msichana mwenye umri mdogo katika kaunti ya Nairobi amewatia moyo vijana na wazee kupitia mpango wake wa uhifadhi wa mazingira katika sehemu mbalimbali nchini. Alice Wanjiru aliye na umri wa miaka 11 amesema msukumo wake unatokana na maono yake ya kutaka kuifanya dunia kuwa mahali pazuri pa kuishi kwa kizazi kijacho. Kwa sasa, azma yake ni ukarabati wa kiwanda cha usafishaji majitaka cha Ruai, ambacho hatimaye kitatatua hatari ya kiafya inayowakabili wakazi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive