Ndoto ya taifa hili ya kufanikisha mradi wa Galana Kulalu ili kuhakikisha kuna chakula cha kutosha nchini unaonyesha ishara ya ufanisi. Kwa mara ya kwanza, mahindi yanavunwa kwenye mradi huu chini ya ushirikiano wa sekta ya umma na ile ya kibinafsi, ikiashiria hatua kubwa kwa juhudi za serikali za kuhakikisha uwepo wa chakula cha kutosha pamoja na mabadiliko ya kiuchumi. Ripota wetu Ben Chumba ana taarifa hiyo kwa kina.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive