Skip to main content
Skip to main content

Viongozi watoa wito kwa wahadhiri warejee kazini

  • | KBC Video
    185 views
    Duration: 2:22
    Matukio ya hivi punde katika sekta za elimu na afya humu nchini, yalishamiri wakati wa mkutano wa viongozi kutoka eneo la Mlima Kenya ulioandaliwa katika kaunti ya Nyandarua. Viongozi wakuu serikalini waliokutana chini ya mpango wa ‘Jamii Imara Mashinani’ walitoa wito kwa wahadhiri wanaogoma kurejea kazini huku mazungumzo yakiendelea. Pia walitoa wito kwa wakenya kuzingatia usafi kufuatia mchipuko wa kipindupindu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive